Tuesday 21 July 2009

Is uranium extraction will rescue Tanzania?

According to the recently news it's believed that Tanzania have potential large amount of uranium deposits in some areas. Is this new discovery may boost our economy and ordinary Tanzanian lives?
If you have any view, ideas, or opinion you are welcome (Swahili or English ni sawa tu).

By Amimu K (Missysunshine)

8 comments:

  1. tukiangalia historia ya madini yaliyokuwepo tanzania mpaka sasa hivi hatujaona matunda kwa mtanzania wa kawaida.anyways tujaribu labda kunaweza kuwa na mabadiliko

    ReplyDelete
  2. mi nadhani inaweza kutusaidia,kama viongozi wetu watafanya kazi kwa manufaa ya taifa na watanzania kwa ujumla na si kwa ajili ya matumbo yao

    ReplyDelete
  3. mi naona utawala wa raisi kikwete unapigana sana na ubadhilifu wa mali ya uma.tunaweza kupata manufaa

    ReplyDelete
  4. tuchimbe uranium lakini tusijiingize kwenye mambo ya kutengeneza silaha za nyukilia.

    ReplyDelete
  5. kuwepo kwa uranium tanzania inaweza kusaidia kuinua uchumi wetu .urnium itatusaidia kuzalisha umeme na hivyo kuwa na vyanzo vingi vya umeme na kuepuka kutegemea tanesko peke yake

    ReplyDelete
  6. kama mambo yenyewe yaleyale ya wachimbaji kuchukua zaidi ya asilimia 60 ya mapatato na taifa kupata chini ya asilimia 40 ya mapato hayo,maendeleo ya taifa letu yatakuwa kama ndoto za alinacha.

    ReplyDelete
  7. mzee hii ishu siyamchezo uranium madini muhimusana kwa teknolojia ya dunia hii

    ReplyDelete
  8. Ni kitu kizuri kuwa na kitu cha kujivunia, when this project finish and then take into actions itawasaidia watu wengi ambao wana degree zao. and actually it will somehow increase the country economy na kuwainua watu. but lets be honesty here AMIMU unadhani ambao wanaosupport hii project watazalisha tu bila kuhitaji kitu in return. Kwa maoni yangu this uranium extraction in s long run will cause some serious problem in TZ if the government will not take charge in the production.... Naipenda TZ
    I.Alamoody

    ReplyDelete