Wednesday 9 February 2011

Swali:

Je elimu ya kidato cha sita inaumuhimu wowote katika jamii yetu? Au ni kupotezeana muda tu? Maana unaweza kuingia chuo bila elimu ya kidato cha sita kama jirani zetu.
Wadau mnaiyonaje hii?

By Amimu K

2 comments:

  1. mimi naona haina umuhimu bali ni kupotezeana muda tu. Bora wangeziunganisha mitaala za kidato cha nne na cha tano-sita na kufanya elimu ya sekondari miaka 4 tu.

    Nawakilisha

    ReplyDelete
  2. Hata mimi naona hivyohivyo kama alivyosema mdau hapo juu kweli kabisa nikupotezeana mda mtu.

    ReplyDelete