Wednesday 24 December 2008

MIZUKA KICHWANI....!!!?

WATU WANAOPANDISHA MIZUKA(MASHETANI) TZ WENGI WANAKUWA NA MARADHI YA KIROHO ( PYSCHOLOGICAL INSTABILITY KAMA DEPRESSION, HALUSINATION N.K), WENGI WAO HUWA WAMESHINDWA KUTATUA MATATIZO YANOWAKABILI KAMA UGOMVI NA WAKWE ZAKE, AU MUMEWE KUWA NA KIMADA WA NJE, SO INAONEKANA KUPANDISHA SHETANI NI NJIA YA KUTATUA MATATÄ°ZO YAO.

LAKIN DAWA YAKE KUBWA HUPELEKWA KWA MGANGA AU KUFANYIWA MATAMBIKO MENGINE BADALA YA KUPELEKWA KWA PSYCHIATRIST. JE NI KWELI MASHETANI YANAWEZA KUPANDA KICHWANI? NA NI KWELI WAGANGA WANASAIDIA KTK SUALA HILI AU WANAZIDISHA MATATIZO NA UPOTEVU WA HELA KWA KUENDEKEZA USHIRIKINA?

By Puppy

2 comments:

  1. dear this issue of mashetani is a little bit confusing.me too inanichanganya.remembering seen our neighbour suffering from those stuffs.belive me its confussing.for my side i dont know but most people wanaenda hospital but no results.then desides to go the other ways.inawezekana problem ikawa inatoka from our doctors or hospitals or ourselves.i'm not sure bt hivyo bongo do we have psychology branch?kama ipo hao ma doktor sidhani kama wanawa direct watu waende kwa psychologyst.in other hand ukiangalia jamii yetu most people tuna inferiority wachache wataokubali kwenda kwa psy.na kuongea ukweli wake.

    ReplyDelete
  2. hayo mashetani kupanda kichwani mh mh??????,lakini watu wengi wanatumia hivyo.hao waganga wanakula hela tu hawana lolote.lakini hakuna kitu kizuri duniani kama kuamini.kuamini impossible inaweza ikawa possible

    ReplyDelete